Orodha ya Timu Zilizofuzu Hadi Sasa CAF Champions League 2026/27, Tazama orodha ya timu zilizofuzu CAF Champions League 2026/27 hadi sasa, ikiwemo Zamalek, Pyramids, Gor Mahia, APR FC, Mamelodi Sundowns na Orlando Pirates.

Orodha ya Timu Zilizofuzu Hadi Sasa CAF Champions League 2026/27

Timu 36 Zafuzu CAF Champions League 2026/27 Hadi Sasa

Mchakato wa kupatikana kwa washiriki wa michuano ya CAF Champions League msimu wa 2026/27 unaendelea, huku timu mbalimbali kutoka mataifa tofauti barani Afrika zikihakikisha nafasi zao katika mashindano hayo makubwa ya ngazi ya vilabu.

Miongoni mwa timu zilizofuzu hadi sasa ni mabingwa wa mataifa yao pamoja na baadhi ya vilabu vilivyomaliza katika nafasi za juu kwenye ligi zao za ndani. Orodha hiyo inaonyesha ushindani mkubwa unaotarajiwa katika msimu ujao wa michuano hiyo inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).

Timu Zilizofuzu CAF Champions League 2026/27 Hadi Sasa

  • MC Alger (Algeria)
  • Petro de Luanda (Angola)
  • Orlando Pirates (Afrika Kusini)
  • Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)
  • Aigle Noir (Burundi)
  • Power Dynamos (Zambia)
  • Rahimo FC (Burkina Faso)
  • Foullah Edifice (Chad)
  • Horoya AC (Guinea)
  • ASEC Mimosas (Ivory Coast)
  • Mighty Wanderers (Malawi)
  • UD Songo (Mozambique)
  • Foresters FC (Seychelles)
  • Scottland FC (Zimbabwe)
  • FC Nouadhibou (Mauritania)
  • El Merrikh Bentiu (South Sudan)
  • Gaborone United (Botswana)
  • La Cure Waves (Mauritius)
  • Club Africain (Tunisia)
  • African Stars FC (Namibia)
  • Lijabatho FC (Lesotho)
  • Rangers International (Nigeria)
  • Rivers United (Nigeria)
  • Espérance de Tunis (Tunisia)
  • APR FC (Rwanda)
  • Medeama SC (Ghana)
  • FC San Pedro (Ivory Coast)
  • Wiliete SC (Angola)
  • Nsingizini Hotspurs (Eswatini)
  • Watanga FC (Liberia)
  • Vipers SC (Uganda)
  • Zamalek SC (Egypt)
  • Pyramids FC (Egypt)
  • Gor Mahia (Kenya)
  • Djoliba AC (Mali)
  • Teungueth FC (Senegal)
  • 🇸🇩 Al Hilal
  • 🇩🇿 JS Saoura
  • 🇸🇩 Al Merriekh
  • 🇱🇾 Swehly Club
Orodha ya Timu Zilizofuzu Hadi Sasa CAF Champions League 2026/27
Orodha ya Timu Zilizofuzu Hadi Sasa CAF Champions League 2026/27

Mashindano ya CAF Champions League 2026/27 yanatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na uwepo wa baadhi ya vilabu bora na vyenye historia kubwa katika soka la Afrika. Orodha ya washiriki itaendelea kuongezeka kadri ligi mbalimbali za kitaifa zinavyokamilika na mabingwa kupatikana.

Mashabiki wa soka barani Afrika sasa wanasubiri kwa hamu droo ya hatua za awali ili kujua njia ambayo timu zao zitapitia kuelekea hatua ya makundi na hatimaye fainali ya michuano hiyo/Orodha ya Timu Zilizofuzu Hadi Sasa CAF Champions League 2026/27.

Pendekezo la Mhariri:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *