Ratiba ya Timu za Afrika Kombe la Dunia 2026, Tazama ratiba kamili ya timu za Afrika katika Kombe la Dunia 2026. Senegal, Morocco, Ghana, Misri, Algeria, DR Congo na mataifa mengine yanakabiliwa na mechi ngumu katika hatua ya makundi.

Ratiba ya Timu za Afrika Kombe la Dunia 2026

Mataifa 10 ya Afrika yanatarajiwa kupeperusha bendera ya bara hilo katika Kombe la Dunia la FIFA 2026, huku yakikabiliwa na ratiba ngumu dhidi ya baadhi ya vigogo wa soka duniani katika hatua ya makundi/Ratiba ya Timu za Afrika Kombe la Dunia 2026.

Miongoni mwa mechi zinazosubiriwa kwa hamu ni pambano la Morocco dhidi ya Brazil, Senegal dhidi ya Ufaransa, Misri dhidi ya Ubelgiji, Algeria dhidi ya Argentina na Ghana dhidi ya England. Mechi hizi zinatarajiwa kuwa kipimo kikubwa kwa timu za Afrika katika harakati za kufuzu hatua ya mtoano.

Ratiba ya Timu za Afrika Kombe la Dunia 2026
Ratiba ya Timu za Afrika Kombe la Dunia 2026

Mashabiki wa soka barani Afrika watakuwa wakifuatilia kwa karibu safari za Morocco, Senegal, Ivory Coast, Tunisia, Egypt, Ghana, Algeria, DR Congo, South Africa na Cabo Verde katika mashindano hayo makubwa zaidi duniani/Ratiba ya Timu za Afrika Kombe la Dunia 2026.

Ratiba ya Timu za Afrika

11 Juni 2026

๐Ÿ•™ 22:00

  • Mexico ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ vs South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ

13 Juni 2026

๐Ÿ•“ 04:00

  • Brazil ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท vs Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ

14 Juni 2026

๐Ÿ•‘ 02:00

  • Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ vs Ecuador ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ

๐Ÿ•” 05:00

  • Sweden ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช vs Tunisia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ

15 Juni 2026

๐Ÿ•– 19:00

  • Spain ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ vs Cabo Verde ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ป

๐Ÿ•™ 22:00

  • Belgium ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช vs Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ

16 Juni 2026

๐Ÿ•™ 22:00

  • France ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท vs Senegal ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ

17 Juni 2026

๐Ÿ•“ 04:00

  • Argentina ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท vs Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ

๐Ÿ•— 20:00

  • Portugal ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น vs DR Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ

18 Juni 2026

๐Ÿ•‘ 02:00

  • Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ vs Panama ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฆ

๐Ÿ•– 19:00

  • Czechia ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ vs South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ

19 Juni 2026

๐Ÿ• 01:00

  • Scotland ๐Ÿด vs Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ

20 Juni 2026

๐Ÿ•— 20:00

  • Germany ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช vs Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ

21 Juni 2026

๐Ÿ•– 07:00

  • Tunisia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ vs Japan ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต

๐Ÿ•– 19:00

  • Spain ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ vs Saudi Arabia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ

๐Ÿ•™ 22:00

  • Belgium ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช vs Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท

22 Juni 2026

๐Ÿ• 01:00

  • Uruguay ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡พ vs Cabo Verde ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ป

๐Ÿ•“ 04:00

  • New Zealand ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฟ vs Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ

23 Juni 2026

๐Ÿ•’ 03:00

  • Norway ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด vs Senegal ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ

๐Ÿ•• 06:00

  • Jordan ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ด vs Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ

๐Ÿ•— 20:00

  • Portugal ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น vs Uzbekistan ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฟ

๐Ÿ•š 23:00

  • England ๐Ÿด vs Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ

24 Juni 2026

๐Ÿ•” 05:00

  • Colombia ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด vs DR Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ

25 Juni 2026

๐Ÿ• 01:00

  • Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ vs Haiti ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡น

๐Ÿ•“ 04:00

  • South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ vs South Korea ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท

๐Ÿ•š 23:00

  • Curaรงao ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ผ vs Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ

26 Juni 2026

๐Ÿ•‘ 02:00

  • Tunisia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ vs Netherlands ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ

๐Ÿ•™ 22:00

  • Senegal ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ vs Iraq ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ

27 Juni 2026

๐Ÿ•’ 03:00

  • Cabo Verde ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ป vs Saudi Arabia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ

๐Ÿ•• 06:00

  • Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ vs Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท
Ratiba ya Timu za Afrika Kombe la Dunia 2026
Ratiba ya Timu za Afrika Kombe la Dunia 2026

28 Juni 2026

๐Ÿ•› 00:00

  • Croatia ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท vs Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ

๐Ÿ• 02:30

  • DR Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ vs Uzbekistan ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฟ

๐Ÿ•” 05:00

  • Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ vs Austria ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น

Mechi Kubwa za Afrika Katika Hatua ya Makundi

  • Brazil ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท vs Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ
  • France ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท vs Senegal ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ
  • Argentina ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท vs Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ
  • Belgium ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช vs Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
  • England ๐Ÿด vs Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ
  • Portugal ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น vs DR Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
  • Germany ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช vs Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ

Kwa kuzingatia sheria mpya za FIFA za kutenganisha timu zenye pointi sawa, kila bao, kila pointi na hata kila kadi inaweza kuwa muhimu katika mbio za kufuzu hatua ya mtoano. Timu za Afrika zitahitaji kutumia vyema kila nafasi ili kuongeza uwezekano wa kufika mbali katika Kombe la Dunia 2026/Ratiba ya Timu za Afrika Kombe la Dunia 2026.

Pendekezo la Mhariri:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *