Real Madrid Yakamilisha Usajili wa Marc Cucurella Kutoka Chelsea
Real Madrid Yakamilisha Usajili wa Marc Cucurella Kutoka Chelsea, kwa Zaidi ya Euro Milioni 50. Real Madrid imefikia makubaliano na Chelsea ya kumsajili beki wa kushoto Marc Cucurella kwa ada…
Simba Yaifunga Pamba Jiji 2-1, Presha Kwa Yanga Kwenye Mbio za Ubingwa
Simba Yaifunga Pamba Jiji 2-1, Presha Kwa Yanga Kwenye Mbio za Ubingwa. Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Pamba Jiji FC katika Uwanja wa KMC Complex…
KMC FC Yashuka Rasmi NBC Championship Baada ya Kichapo Dhidi ya TRA United
KMC FC Yashuka Rasmi NBC Championship Baada ya Kichapo Dhidi ya TRA United, KMC FC imeshuka rasmi kutoka NBC Premier League baada ya kufungwa 1-0 na TRA United. Timu hiyo…
Raja Casablanca Yamtangaza Rasmi Nasreddine Nabi Kuwa Kocha Mkuu
Raja Casablanca Yamtangaza Rasmi Nasreddine Nabi Kuwa Kocha Mkuu, Raja Casablanca imemtambulisha rasmi Nasreddine Nabi kuwa kocha mkuu mpya wa klabu hiyo baada ya Fadlu Davids kutimuliwa. Nabi anarejea Morocco…
Omar Artan Ateuliwa Kuchezesha UEFA Super Cup
Omar Artan Ateuliwa Kuchezesha UEFA Super Cup Baada ya Kukosa Kombe la Dunia 2026, UEFA imemteua mwamuzi wa Somalia Omar Abdulkadir Artan kuchezesha UEFA Super Cup kati ya PSG na…
Real Madrid Yakaribia Kumsajili Bernardo Silva
Real Madrid Yakaribia Kumsajili Bernardo Silva kwa Uhamisho Huru Kutoka Manchester City. Real Madrid ipo katika hatua za mwisho za mazungumzo ya kumsajili Bernardo Silva kwa uhamisho huru kutoka Manchester…
Aliou Dieng Aondoka Al Ahly na Kujiunga Valencia CF ya Hispania
Aliou Dieng Aondoka Al Ahly na Kujiunga Valencia CF ya Hispania, Kiungo wa Mali, Aliou Dieng, ameondoka Al Ahly SC baada ya mkataba wake kumalizika na sasa anatarajiwa kuendelea na…
Fadlu Davids Karibu Kuondoka Raja Casablanca
Fadlu Davids Karibu Kuondoka Raja Casablanca, Mazungumzo ya Kuvunja Mkataba Yaendelea. Kocha wa Raja Club Athletic, Fadlu Davids, yuko karibu kuondoka klabuni hapo baada ya mazungumzo ya kuvunja mkataba kwa…
Simba Yatozwa Faini ya TSh Milioni 5 Baada ya Tukio la Muokota Mipira
Simba Yatozwa Faini ya TSh Milioni 5 Baada ya Tukio la Muokota Mipira, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeitoza Simba SC faini ya TSh milioni 5 kufuatia tukio lililohusisha…
Al Ahly Yamuwania Hussein Ammouta, Imempa ofa kocha wa zamani wa Wydad AC
Al Ahly Yamuwania Hussein Ammouta, Imempa ofa kocha wa zamani wa Wydad AC. Huenda Akaandika Historia ya Kuwa Kocha wa Kwanza kutoka Morocco. Al Ahly imempa ofa kocha wa zamani…