Makundi ya FIFA U-17 Kombe la Dunia, Droo ya makundi ya mashindano ya FIFA U-17 World Cup imetangazwa rasmi huku timu mbalimbali kutoka mabara tofauti zikipangwa katika makundi 12 yenye ushindani mkubwa. Tanzania imepangwa Kundi I pamoja na Brazil, Republic of Ireland na Costa Rica.
Makundi ya FIFA U-17 Kombe la Dunia
Group A
- Qatar ๐ถ๐ฆ
- Panama ๐ต๐ฆ
- Egypt ๐ช๐ฌ
- Greece ๐ฌ๐ท
Group B
- Korea Republic ๐ฐ๐ท
- CAF 1
- New Caledonia ๐ณ๐จ
- Ecuador ๐ช๐จ
Group C
- Argentina ๐ฆ๐ท
- Australia ๐ฆ๐บ
- CAF 2
- Denmark ๐ฉ๐ฐ
Group D
- France ๐ซ๐ท
- Haiti ๐ญ๐น
- Saudi Arabia ๐ธ๐ฆ
- Uruguay ๐บ๐พ
Group E
- Italy ๐ฎ๐น
- Jamaica ๐ฏ๐ฒ
- Cรดte dโIvoire ๐จ๐ฎ
- Uzbekistan ๐บ๐ฟ
Group F
- Senegal ๐ธ๐ณ
- Croatia ๐ญ๐ท
- Cuba ๐จ๐บ
- Tajikistan ๐น๐ฏ
Group G
- Mali ๐ฒ๐ฑ
- New Zealand ๐ณ๐ฟ
- Belgium ๐ง๐ช
- Vietnam ๐ป๐ณ
Group H
- Spain ๐ช๐ธ
- China PR ๐จ๐ณ
- Fiji ๐ซ๐ฏ
- Morocco ๐ฒ๐ฆ

Group I
- Brazil ๐ง๐ท
- Republic of Ireland ๐ฎ๐ช
- Tanzania ๐น๐ฟ
- Costa Rica ๐จ๐ท
Group J
- USA ๐บ๐ธ
- Montenegro ๐ฒ๐ช
- Chile ๐จ๐ฑ
- Algeria ๐ฉ๐ฟ
Group K
- Mexico ๐ฒ๐ฝ
- Romania ๐ท๐ด
- Cameroon ๐จ๐ฒ
- Venezuela ๐ป๐ช
Group L
- Japan ๐ฏ๐ต
- Colombia ๐จ๐ด
- Serbia ๐ท๐ธ
- Honduras ๐ญ๐ณ
Pendekezo la Mhariri:
- Tanzania Yapangwa Kundi Gumu Kombe la Dunia U-17
- Taifa Stars Kwenda Morocco Kwa Mechi za Kirafiki
- Mbappe na Dembele Waongoza Kikosi cha Ufaransa Kombe la Dunia la 2026