Ratiba ya Hatua ya Makundi Kombe la Dunia 2026, Fahamu ratiba kamili ya Kombe la Dunia 2026 kuanzia hatua ya makundi hadi fainali. Tazama mechi kubwa zinazowakutanisha Brazil na Morocco, England na Croatia, pamoja na France dhidi ya Senegal.
Ratiba ya Hatua ya Makundi Kombe la Dunia 2026
Mashabiki wa soka duniani sasa wana sababu ya kuanza kuhesabu siku baada ya ratiba ya Kombe la Dunia 2026 kuweka wazi mechi za hatua ya makundi hadi fainali ya mashindano hayo makubwa zaidi ya soka duniani.
Michuano hiyo itawakutanisha mabingwa wa mabara mbalimbali katika mechi za kusisimua zitakazochezwa nchini Marekani, Canada na Mexico/Ratiba ya Hatua ya Makundi Kombe la Dunia 2026.
Mechi za Ufunguzi za Hatua ya Makundi
Mashindano yataanza kwa mchezo wa Kundi A kati ya Mexico na Afrika Kusini utakaochezwa Juni 11.
Baadhi ya mechi zinazosubiriwa kwa hamu katika raundi ya kwanza ya makundi ni:
- Mexico vs Afrika Kusini
- Canada vs Bosnia na Herzegovina
- Marekani vs Paraguay
- Brazil vs Morocco
- Uholanzi vs Japan
- Hispania vs Cape Verde
- Ubelgiji vs Misri
- Ufaransa vs Senegal
- Argentina vs Algeria
- Ureno vs DR Congo
- England vs Croatia
Mechi Kubwa Zaidi za Hatua ya Makundi
Ratiba ya mwaka huu imeleta michezo kadhaa mikubwa inayoweza kuamua mapema hatma ya timu mbalimbali.
Miongoni mwa michezo inayotarajiwa kuvuta hisia za mashabiki ni:
- Brazil vs Morocco
- Germany vs Ivory Coast
- Belgium vs Egypt
- France vs Senegal
- England vs Croatia
- Portugal vs Colombia
- Uruguay vs Spain
- Argentina vs Austria
Timu za Afrika
Mataifa ya Afrika yanatarajiwa kufanya vizuri katika mashindano hayo huku macho mengi yakielekezwa kwa:
- Morocco
- Senegal
- Egypt
- Ivory Coast
- Ghana
- DR Congo
- Tunisia
- Algeria
- South Africa
- Cabo Verde
Mechi za Morocco dhidi ya Brazil, Senegal dhidi ya France na Egypt dhidi ya Belgium zinatajwa kuwa miongoni mwa michezo migumu zaidi kwa wawakilishi wa Afrika/Ratiba ya Hatua ya Makundi Kombe la Dunia 2026.

Kundi A
11 Juni 2026
- Mexico vs South Africa (22:00)
12 Juni 2026
- South Korea vs Czechia (05:00)
18 Juni 2026
- Czechia vs South Africa (19:00)
19 Juni 2026
- Mexico vs South Korea (04:00)
25 Juni 2026
- South Africa vs South Korea (04:00)
- Czechia vs Mexico (04:00)
Kundi B
12 Juni 2026
- Canada vs Bosnia and Herzegovina (22:00)
13 Juni 2026
- Qatar vs Switzerland (22:00)
18 Juni 2026
- Switzerland vs Bosnia and Herzegovina (22:00)
19 Juni 2026
- Canada vs Qatar (01:00)
24 Juni 2026
- Switzerland vs Canada (22:00)
- Bosnia and Herzegovina vs Qatar (22:00)
Kundi C
14 Juni 2026
- Brazil vs Morocco (01:00)
- Haiti vs Scotland (04:00)
20 Juni 2026
- Scotland vs Morocco (01:00)
- Brazil vs Haiti (03:30)
25 Juni 2026
- Morocco vs Haiti (01:00)
- Scotland vs Brazil (01:00)
Kundi D
13 Juni 2026
- USA vs Paraguay (04:00)
14 Juni 2026
- Australia vs Türkiye (07:00)
19 Juni 2026
- USA vs Australia (22:00)
20 Juni 2026
- Türkiye vs Paraguay (06:00)
26 Juni 2026
- Türkiye vs USA (05:00)
- Paraguay vs Australia (05:00)
Kundi E
14 Juni 2026
- Germany vs Curaçao (20:00)
15 Juni 2026
- Ivory Coast vs Ecuador (02:00)
20 Juni 2026
- Germany vs Ivory Coast (23:00)
21 Juni 2026
- Ecuador vs Curaçao (03:00)
25 Juni 2026
- Curaçao vs Ivory Coast (23:00)
- Ecuador vs Germany (23:00)
Kundi F
14 Juni 2026
- Netherlands vs Japan (23:00)
15 Juni 2026
- Sweden vs Tunisia (05:00)
20 Juni 2026
- Netherlands vs Sweden (20:00)
21 Juni 2026
- Tunisia vs Japan (07:00)
26 Juni 2026
- Tunisia vs Netherlands (02:00)
- Japan vs Sweden (02:00)
Kundi G
15 Juni 2026
- Belgium vs Egypt (22:00)
16 Juni 2026
- Iran vs New Zealand (04:00)
21 Juni 2026
- Belgium vs Iran (22:00)
22 Juni 2026
- New Zealand vs Egypt (04:00)
27 Juni 2026
- New Zealand vs Belgium (06:00)
- Egypt vs Iran (06:00)
Kundi H
15 Juni 2026
- Spain vs Cabo Verde (19:00)
16 Juni 2026
- Saudi Arabia vs Uruguay (01:00)
21 Juni 2026
- Spain vs Saudi Arabia (19:00)
22 Juni 2026
- Uruguay vs Cabo Verde (01:00)
27 Juni 2026
- Cabo Verde vs Saudi Arabia (03:00)
- Uruguay vs Spain (03:00)

Kundi I
16 Juni 2026
- France vs Senegal (22:00)
17 Juni 2026
- Iraq vs Norway (01:00)
23 Juni 2026
- France vs Iraq (00:00)
- Norway vs Senegal (03:00)
26 Juni 2026
- Norway vs France (22:00)
- Senegal vs Iraq (22:00)
Kundi J
17 Juni 2026
- Argentina vs Algeria (04:00)
- Austria vs Jordan (07:00)
22 Juni 2026
- Argentina vs Austria (20:00)
23 Juni 2026
- Jordan vs Algeria (06:00)
28 Juni 2026
- Algeria vs Austria (05:00)
- Jordan vs Argentina (05:00)
Kundi K
17 Juni 2026
- Portugal vs DR Congo (20:00)
18 Juni 2026
- Uzbekistan vs Colombia (05:00)
23 Juni 2026
- Portugal vs Uzbekistan (20:00)
24 Juni 2026
- Colombia vs DR Congo (05:00)
28 Juni 2026
- Colombia vs Portugal (02:30)
- DR Congo vs Uzbekistan (02:30)
Kundi L
17 Juni 2026
- England vs Croatia (23:00)
18 Juni 2026
- Ghana vs Panama (02:00)
23 Juni 2026
- England vs Ghana (23:00)
24 Juni 2026
- Panama vs Croatia (02:00)
28 Juni 2026
- Panama vs England (00:00)
- Croatia vs Ghana (00:00)
Hatua ya Mtoano
Raundi ya 32 Bora
- 28 Juni – 4 Julai 2026
Raundi ya 16 Bora
- 4 Julai – 7 Julai 2026
Robo Fainali
- 9 Julai – 12 Julai 2026
Nusu Fainali
- 14 Julai 2026
- 15 Julai 2026
Mchezo wa Nafasi ya Tatu
- 19 Julai 2026 (00:00)
Fainali
- 19 Julai 2026 (22:00)
Pendekezo la Mhariri:
- Simba Yamnasa Bakari Msimu Kutoka Coastal Union
- Yanga Yatajwa Kumuwania Yves Junior Koutiama
- Mtanzania Barka Seif Ajiunga na La Masia
Hatua za Mtoano
Baada ya hatua ya makundi kukamilika mwishoni mwa Juni, hatua ya 32 Bora itaanza Juni 28 hadi Julai 4.
Hatua ya 16 Bora itafuata kati ya Julai 4 na Julai 7, huku robo fainali zikichezwa Julai 9 hadi Julai 12.
Nusu fainali zimepangwa kufanyika Julai 14 na Julai 15 kabla ya mchezo wa mshindi wa tatu kuchezwa Julai 19.
Fainali ya Kombe la Dunia 2026
Mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia 2026 umepangwa kuchezwa Julai 19, ambapo timu mbili bora zaidi zitapambana kuwania taji la dunia/Ratiba ya Hatua ya Makundi Kombe la Dunia 2026.
Mashindano haya yanatarajiwa kuwa ya kihistoria kutokana na kuhusisha timu nyingi zaidi kuliko ilivyowahi kutokea katika historia ya FIFA World Cup.
Kwa ratiba hii, mashabiki wanaweza kutarajia mwezi mzima wa burudani ya soka la kiwango cha juu, mechi za kusisimua na ushindani mkali kutoka kwa mataifa makubwa ya soka duniani/Ratiba ya Hatua ya Makundi Kombe la Dunia 2026.